Geyse da Silva Ferreira (alizaliwa 27 Machi 1998)[1] akijulikana zaidi kama Geyse na hapo awali Pretinha ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Brazili,ambae anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Manchester United F.C. inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[2] na timu ya taifa ya Brazili.[3]

Geyse mnamo 2023

Marejeo hariri

  1. "Wayback Machine". web.archive.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-12-01. Iliwekwa mnamo 2024-04-30. 
  2. "United sign Geyse Da Silva Ferreira". www.manutd.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-30. 
  3. "Brilhante em Portugal e na Espanha, Geyse quer aproveitar oportunidades com a seleção | Goal.com Brasil". www.goal.com (kwa pt-BR). 2021-07-23. Iliwekwa mnamo 2024-04-30. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Geyse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.