Giovanni Faloci (alizaliwa 13 Oktoba 1985) ni mrusha kisahani kutoka Italia. Alishindana kwenye michezo ya Olimpiki 2020 majira ya joto, kwenye kurusha kisahani[1]

Marejeo hariri

  1. "Athletics FALOCI Giovanni - Tokyo 2020 Olympics". olympics.com (kwa en-us). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-02. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.