Gisborne, New Zealand

Gisborne (Kimaori: Tūranga-nui-a-Kiwa) ni mji wa New Zealand mwenye wakazi 38,800 (2010). Iko upande wa kaskazini wa kisiwa. Eneo lake ni 540 km².

Gisborne / Tūranga-nui-a-Kiwa

Mji wa Gisborne (New Zealand)
Habari za kimsingi
Mkoa Manawatu-Wanganui
Anwani ya kijiografia Latitudo: 38°39′0″ - Longitudo: 178°00′0″E
Eneo 8,355 km²
Wakazi 34,000 (mji pekee)
Mahali

Viungo vya nje hariri



  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.