Gisleno
Gisleno (alifariki Ursidongus, leo Saint-Ghislain, nchini Ubelgiji, 9 Oktoba 680) alikuwa mkaapweke padri aliyefanya umisionari na kuanzisha monasteri, akitokea labda Ugiriki[1] au Ujerumani.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa na Wakatoliki an Waorthodoksi tarehe 9 Oktoba[2].
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
Viungo vya nje hariri
- (Kiingereza) St Ghislain at the Catholic Encyclopedia
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |