Gladys Lengwe

Mwamuzi wa Soka wa Zambia

Gladys Lengwe (alizaliwa 6 Februari, 1978), ni mwamuzi wa mpira wa miguu wa kimataifa kutoka nchini Zambia. [1] [2]

Gladys Lengwe (kushoto) mnamo 2015

Alikuwa mmoja wa waamuzi katika Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake mwaka 2019 nchini Ufaransa. [3] [4]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gladys Lengwe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.