Gloria Foster (15 Novemba 193329 Septemba 2001) alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa jina la Oracle kutoka katika mfululizo wa filamu ya Matrix 1 na 2. Bi. Gloria alifarika dunia mnamo tarehe 29 ya mwezi wa Septemba, kwa ugonjwa wa kisukari. Na akazikwa katika makaburi ya Cypress Hills mjini Brooklyn-Marekani.


Gloria Foster

picha ya Gloria iliyokatwa kutoka filamu ya Matrix sehemu ya kwanza.
picha ya Gloria iliyokatwa kutoka filamu ya Matrix sehemu ya kwanza.
Jina la kuzaliwa Gloria Foster
Alizaliwa 15 Novemba 1933, Chicago, Illinois
Marekani
Kafariki 29 Septemba 2001
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1964 hadi 2001

Filamu alizoziigiza Bi. Gloria Foster hariri

  • The Matrix Reloaded (2003) kaiigiza kama The Oracle
  • The Matrix (1999) kaiigiza kama The Oracle
  • City of Hope (1991) kaiigiza kama Jeanette
  • Leonard Part 6 (1987) kaiigiza kama Medusa
  • Man and Boy (1972) kaiigiza kama Ivy Revers
  • The Angel Levine (1970) kaiigiza kama Sally
  • The Comedians (1967) kaiigiza kama Mrs. Philipot
  • Nothing But a Man (1964) kaiigiza kama Lee
  • The Cool World (1964) kaiigiza kama Mrs. Custis

Mfululizo wa televisheni hariri

  • Percy & Thunder (1993) kaiigiza kama Sugar Brown
  • Separate But Equal (1991) kaiigiza kama Buster
  • The Atlanta Child Murders (1985) (miniseries) kaiigiza kama Camille Bell
  • House of Dies Drear (1984) kaiigiza kama Sheila Small
  • The Files on Jill Hatch (1983) kaiigiza kama Mrs. Hatch
  • Top Secret (1978) kaiigiza kama Judith
  • To All My Friends on Shore (1972) kaiigiza kama Serena

Marejeo ya nje hariri

  1. http://www.imdb.com/name/nm0287825/

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gloria Foster kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.