Goodman Dlamini ni mchezaji wa soka wa Afrika Kusini anayesakata mpira kama kiungo wa kati.[1]

Kazi hariri

Tarehe 20 Mei 2018, alifunga bao la ushindi katika fainali ya Nedbank Cup na kuiongoza Free State Stars kushinda taji lao la kwanza katika miaka 24.[2]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Goodman Dlamini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.