Grand Theft Auto 2

Grand Theft Auto 2 ni mchezo wa video uliyoundwa na DMA Design na kutolewa na Rockstar Games.

Nembo ya GTA

Mchezo huu ulitolewa tarehe 30 Septemba 1999 kwa ajili ya Microsoft Windows, na mnamo tarehe 22 Oktoba 1999 kwa ajili ya PlayStation. Ni sehemu ya mwisho ya Grand Theft Auto 1997.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Grand Theft Auto 2 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.