Gregori wa Dekapoli

Gregori wa Dekapoli (Irenopoli, Isauria, leo nchini Uturuki, kabla ya 797 - Konstantinopoli, 842 au kabla yake) alikuwa mmonaki ambaye alipata umaarufu kwa miujiza na mizunguko yake mingi[1].

Mchoro mdogo wa Mt. Gregori katika Menologion of Basil II, 985 hivi.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Novemba[2][3][4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92529
  2. Martyrologium Romanum
  3. Great Synaxaristes: Ὁ Ὅσιος Γρηγόριος ὁ Δεκαπολίτης. 20 Νοεμβρίου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
  4. Venerable Gregory Decapolite. OCA - Lives of the Saints. Retrieved: 17 September 2014.

Marejeo hariri

  • Sahas, Daniel J. (2009). "Gregory Dekapolites". In Thomas, David; Roggema, Barbara. Christian-Muslim Relations: A Bibliographical History, Volume 1 (600-900). Leiden and Boston: BRILL. pp. 614–617. ISBN 978-90-04-16975-3
      .

Marejeo mengine hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.