Gregori wa Utrecht

Gregori wa Utrecht (Trier, leo nchini Ujerumani, 706 hivi – Utrecht, leo nchini Uholanzi, 776 hivi) alikuwa mmonaki maarufu kwa umisionari wake alioufanya tangu ujanani chini ya Bonifas mfiadini.

Sanamu yake yanamotunzwa masalia yake.

Ndiye aliyemweka kuwa abati wa kwanza wa Utrecht akafariki huko baada ya kuongoza jimbo hilo kwa niaba ya Papa bila kupewa daraja ya askofu[1].

Anaheshimiwa tangu zamani kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe 25 Agosti[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons


  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.