Hannah Hampton

Mchezaji wa mpira wa miguu wa Uingereza

Hannah Alice Hampton (alizaliwa 16 Novemba 2000)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Chelsea F.C. ya Ligi Kuu ya Wanawake Uingereza (WSL)[3][4] na timu ya taifa ya Uingereza [5].Pia Amewahi kuichezea Aston Villa. Hampton ni zao la academia za Stoke City [6]na Birmingham City[7] na pia alitumia miaka mitano katika timu ya vijana ya Villarreal CF.

Hampton mnamo 2022

Marejeo hariri

  1. https://fdp.fifa.org/assetspublic/ce93/pdf/SquadLists-English.pdf
  2. "England - H. Hampton - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". uk.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-20. 
  3. Fellipe Miranda (2023-12-17). "Bristol City 0-3 Chelsea, Women’s Super League: Post-match reaction". We Ain't Got No History (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-20. 
  4. "Chelsea beat Bristol City to go three points clear", BBC Sport (kwa en-GB), iliwekwa mnamo 2024-04-20 
  5. The Football Association. "England woen's legacy and results archive". https://www.englandfootball.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-20. 
  6. Aston Villa Football Club (2021-07-03). "Hannah Hampton joins Villa Women ✍️". Aston Villa Football Club. Iliwekwa mnamo 2024-04-20. 
  7. "Che Adams sweeps the board at Player Awards evening". web.archive.org. 2021-02-01. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-01. Iliwekwa mnamo 2024-04-20. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hannah Hampton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.