Hans Georg Dehmelt


Hans Georg Dehmelt (amezaliwa 9 Septemba 1922) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Mwaka wa 1952 alihamia na kukata uraia wa Marekani. Hasa alichunguza sehemu za atomu. Mwaka wa 1989, pamoja na Wolfgang Paul na Norman Ramsey alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hans Georg Dehmelt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.