Hassan Ibrahim Samoun


Hassan Ibrahim Samoun ( amezaliwa mnamo mwaka 1956, Homs) ni mshairi na mchapishaji nchini Syria. Ibrahim alianza kufanya kazi akiwa na umri mdogo katika uwanja wa vifaa vizito vya uhandisi na ujenzi wa chuma.[1]

Hassan Ibrahim Samoun
Alizaliwa [1956]
Nchi Syria
Kazi yake uhandisi

Kazi hariri

  • Ngurumo (maisha ya nchi)

Viungo Vya Nje hariri

Marejeo hariri

  1. "poetry - حسن سمعـون syrian-oak". sites.google.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-15. Iliwekwa mnamo 2017-10-06.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hassan Ibrahim Samoun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.