Hassane Fofana (alizaliwa 28 Aprili 1992) ni mwanariadha kutoka Italia aliyeshiriki kwenye kuruka vihunzi[1]. Ana asili ya Ivori Coast[2]. Alishindana kwenye michuano ya 2020 ya olimpiki ya majira ya joto ,kwenye vihunzi mita 110.[3]

Hassane Fofana wa kwanza kutoka kushoto
Hassane Fofana wa kwanza kutoka kushoto

Marejeo hariri

  1. "Hassane FOFANA | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-02. 
  2. "Hassane Fofana (g.s. Fiamme Oro Padova)". www.fidal.it (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-10-02. 
  3. "Athletics FOFANA Hassane - Tokyo 2020 Olympics". olympics.com (kwa en-us). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-02. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.