Heba Amin

Mchoraji wa Misri, msanii wa vyombo vya habari mchanganyiko na mhadhiri.

Heba Y. Amin (alizaliwa 1980) ni msanii wa picha nchini Misri.

Heba mwaka 2013

Maisha ya awali na Elimu hariri

Amin alizaliwa na kukulia jijini Cairo. Alipata elimu yake ya juu kutoka chuo cha Kairo (‘’Cairo American Colleg’’) iliyopo Maadi. Amin alihamia nchini Marekani mwaka 1998 na kusomea Hisabati na Sanaa akapata diploma kutoka chuo kikuu cha Malacaster (‘’Macalester College’’). Mwaka 2005 alijiunga kwa masomo ya shahada katika chuo cha Minneapollis (‘’Minneapolis College of Art and Design’’). Alipata shahada ya Uzamili katika masuala ya Sanaa mnamo mwaka 2009 kutoka chuo kikuu cha Minnesota (‘’University of Minnesota’’).[1] Kufutia masomo yake, alipata tuzo kutoka chuo kikuu cha Berlin kwa jina la ‘’DAAD (German Academic Exchange)’’ kwa kazi yake aliyoipa jina la "Alternative Memorials".[2] She is a DCRL Fellow in Leuphana University in Lüneburg (2017), a doctoral fellow in at BGSMSC at Freie Universität in Berlin from 2016 to present, and a current Field of Vision fellow in NYC.[2]

Kazi hariri

Amin alijikita zaidi katika masuala ya utafiti na mahojiano juu ya siasa, teknolojia na ukuaji wa miji. Kwa sasa ni mtunzaji wa Sanaa za maonyesho za Mizna (Minneapolis, USA), mtunzaji wa program ya makazi kwa jina la DEFAULT akishirikiana na kampuni ya ‘’Ramdom Association (IT)’’ ya Italia na muanzilishi wa makusanyo ya Sanaa maarufu kama ‘’Black Athena Collective’’ akishirikiana na msanii mwenza bwana Dawit L. Petros. Amin pia ni miongoni mwa wasanii waanzilishi wa maonyesho ya televisheni kwa jina la ‘’Homeland’’ ambayo ilivutia watazamaji wengi ulimwenguni kwote.[3]

Akiwa kama muajiriwa wa wazalishaji wa ‘’Homeland’’ akiweka graffiti za kiarabu, amini alichora kwa rangi graffiti yenye kuelezea juu ya maonyesho ya Homeland, kwa maandishi ya kiarabu, mchoro huo ulielezea kua maonyesho hayo ya Homeland ni ya kibaguzi.[4] Amin has criticized Homeland for its inaccuracy and bias in its portrayal of people from various countries in the Middle East.[5]

Amin alielezea katika kitabu cha Watoto ‘’wanawake wa kipekee katika dunia ya waislamu’’;[6] the book received a Moonbeam Children's Book Award.[7]

Amin alishiriki katika maonyesho ya Dak'Art Biennale mwaka 2016, miradi mfululizo ya Marakkech Biennale mwaka 2016, makumbusho ya Sanaa za kisasa ya Warsaw, Kunstverein huko Hamburg, Camera Austria, baraza la tisa la Berlin Berlinale, maonyesho ya kimataifa ya IV Moscow kwa Sanaa changa, maonyesho ya kumi na tano ya Sanaa za vyombo vya habari (‘’WRO Media Art Biennale’’) nchini Poland, maonyesho ya kitaifa ya sanaa Mongolia, na makumbusho ya Sanaa ya jijini Gotland Sweden. Alipata tuzo kutoka Ujerumani maarufu kama (‘Deutscher Akademischer Austausch Dienst’’) na ya shirirka la Rhizome na pia aliteuliwa kushiriki katika tuzo za ‘’the artraker prize’’.[8]

Amin alishawahi kuwa mkufunzi wa chuo kikuu cha Minnesota jijini Cairo, na katika chuo cha sayansi shirikishi cha jijini Berlin.[9] Amefanya mafunzo mengi ya aina mbalimbali kwote duniani. Kazi yake kwa jina la The Earth Is an Imperfect Ellipsoid ya mwaka 2016 ilitumika na Mizna Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., na pia alihojiwa uandishi wa insha wa Lana Barkawi kwa jina la "Criticality and Dissent".[10]

Kwa sasa Amin anaishi jijini Berlin na anafanya kazi kama mhadhiri katika chuo cha Bard ‘’Bard College Berlin’’.

Maonyesho yaliyochaguliwa hariri

  • 2019 "History Is Not Here: Sanaa na fikra za kiarabu Minnesota Museum of American Art, St Paul, MN, Marekani
  • 2017 "As If – The Media Artist as Trickster" Framer Framed, Uholanzi
  • 2016 "Beton" Kunsthalle Wien, Austria
  • 2016 "The Earth is an Imperfect Ellipsoid" Galeri Zilberman, Istanbul, Uturuki
  • 2016 "The City in the Blue Daylight" Dak’Art Biennale, Dakar, Senegal
  • 2016 Cairotronica, Cairo, Misri
  • 2016 "Ultrahabitat" Gallery Zilberman Berlin, Ujerumani
  • 2016 "As Birds Flying/Kama Tohalleq al Teyour" Sanaa ya filabu za Dubai
  • 2016 "The Earth is an Imperfect Ellipsoid" Marrakech Biennale, Morocco
  • 2016 "Making Use" makumbusho ya Sanaa za kisasa Warsaw, Poland
  • 2016 "Fluidity" ilitunzwa na Bettina Steinbrügge (Kunstverein huko Hamburg), Nina Möntmann (Royal Institute of Art, Stockholm) na Vanessa Joan Müller (Kunsthalle Vienna) Kunstverein huko Hamburg, Ujerumani
  • 2015 "To What End?" ilitunzwa na Gulsen Bal, Walter Seidle, Camera Austria, Graz, Austria
  • 2014 "Les Rencontres Internationales de la Photo de Fes–8eme edition" ilitunzwa na Selva Barni & Francesca Girelli, Institut Francais Fes, Morocco
  • 2014 "A Time for Dreams" ilitunzwa na David Elliot, maonyesho ya IV ya Kimataifa ya Biennale Moscow kwa Sanaa changa, Urusi
  • 2014 "9th Forum Expanded: What Do We Know When We Know Where Something Is?" 64th Berlinale, Berlin, Ujerumani
  • 2012 "The Download" Rhizome, makumbusho mapya, NY, Marekani
  • 2012 "(Is there) Light in outer space?" maonyesho ya miji ya kale, Melbourne, Australia
  • 2011 "Let’s Get Ready" maonyesho ya Sanaa mpya ya Pixxelpoint, Nova Gorica, Slovenia

Maonyesho yaliyochaguliwa hariri

  • 2016 "As Birds Flying/Kama Tohalleq al Teyour" baraza la 66 la Berlinale, Berlin, Ujerumani
  • 2016 "Homeland is Not a Series" sehemiu ya maono, maonyesho ya kimataifa ya filamu ya Rotterdam, Uholanzi
  • 2014 "MEI Film Festival Davenport", chuo cha St. Ambrose, IA
  • 2013 "Difference Screen" umepangwa na Bruce Allan, Ben Eastop, ARKO Arts Centre, Seoul, Korea kusini
  • 2013 "Difference Screen" umepangwa na Bruce Allan, Ben Eastop, Artisterium, Tbilisi, Georgia
  • 2013 "Difference Screen" umepangwa na Bruce Allan, Ben Eastop, Manyesho ya kitaifa ya Sanaa za kisasa ya Mongolian, Ulaanbaatar, Mongolia
  • 2013 "Difference Screen" umepangwa na Bruce Allan, Ben Eastop, Clearwell Caves, Forest of Dean, Uingereza
  • 2012 "Mizna’s 7th Twin Cities Arab Film Festival" Minneapolis, MN Marekani
  • 2012 "Fluid Spaces" Alfilm Arabisches Film Festival Berlin/ifa Galerie

Heshima/Ruzuku/Tuzo hariri

  • 2020 tuzo, Anni and Heinrich Sussmann Artist Award
  • 2019 tuzo, Paulo Cunha E. Silva Prize, aliteuliwa
  • 2018 tuzo, Kunstpreis der Böttcherstrasse, aliteuliwa
  • 2018 ruzuku ya uzalishaji, Valletta 2018 Commission, European Capital of Culture, Malta
  • 2018 ruzuku ya uzalishaji, Akademie der Künste der Welt/Köln,Ujerumani
  • 2017 ruzuku ya uzalishaji, Shuttleworth Foundation Flash Grant
  • 2016 ruzuku ya uzalishaji, Interkultur Ruhr Commission, Metropole Ruhr, Ujerumani
  • 2014 tuzo, Artraker Artist Prize, aliteuliwa
  • 2009 tuzo, Rhizome Commissions Program, New Museum, NYC, NY
  • 2007 ruzuku ya uzaalishaji, “Latitudes” Mizna Granting Program, Minneapolis, MN
  • 2004 ruzuku ya mtaalamu, “Metropolitan Regional Arts Council Community Arts Grant” Minneapolis, MN

Marejeo hariri

  1. "Heba Amin". Muslim Women: Past and Present. Women’s Islamic Initiative in Spirituality and Equality. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-14. Iliwekwa mnamo 2016-05-13.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
  2. 2.0 2.1 Amin, Heba. "Bio". Heba Y Amin. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-04. Iliwekwa mnamo 2021-03-27. 
  3. "Heba Y Amin". www.hebaamin.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-07-01. Iliwekwa mnamo 30 May 2016.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  4. Paskin, Willa. "An Interview With the Graffiti Artist Who Snuck Anti-Homeland Graffiti Onto the Homeland Set", Slate, October 15, 2015. 
  5. "Arabian Street Artists" Bomb Homeland: Why We Hacked an Award-Winning Series". hebaamin.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-13. Iliwekwa mnamo 2021-03-27. 
  6. "Heba Amin". Talent Bazaar. Women’s Islamic Initiative in Spirituality and Equality. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-13. Iliwekwa mnamo 2016-05-13.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
  7. "Moonbeam Children's Book Awards". 
  8. "Heba Amin". artraker.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-06-14. Iliwekwa mnamo 2021-03-27. 
  9. Oweis, Fayeq (2008). Encyclopedia of Arab American Artists. ku. 40–44. ISBN 978-0313337307. 
  10. Barkawi, Lana (July 2016). "Criticality and Dissent". Mizna. 17.1, 2016 (Summer 2016).  Check date values in: |date= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Heba Amin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.