Herbert Dhlomo

Mwandishi wa Afrika Kusini

Herbert Isaac Ernest Dhlomo (1903 - 1956) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Aliandika aina nyingi kama mashairi, hadithi na tamthiliya, hasa katika lugha ya Kiingereza. Tena alikuwa mwandishi wa habari kwa gazeti Bantu World mjini Johannesburg na gazeti Ilanga laseNatali mjini Durban. Shairi lake refu Valley of a Thousand Hills ("Bonde la Vilima Elfu") ni mashuhuri hasa.

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Herbert Dhlomo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.