Hestia (Kigiriki Ἑστία, Hestía) alikuwa binti wa Titani Krono na Rea na mungu wa kike wa moto wa meko katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Vesta katika dini ya Roma ya Kale.

Hestia
Mungu wa Kike wa Meko na Moto
MakaoMlima Olimpos
AlamaMeko, Moto, Kurunzi, Meshmaa, Korongo, Nguruwe na Punda
WazaziKrono na Rea
NduguZeu, Hade, Zeu, Poseidoni, Demetra, Khironi
Ulinganifu wa KirumiVesta
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.