Hifadhi ya Burigi-Chato

Hifadhi ya Burigi-Chato ipo katika mikoa miwili ambayo ni Kagera na Geita, ndani ya wilaya za Karagwe, Biharamulo, Muleba na Chato, kaskazini magharibi mwa Tanzania[1].

Shoebill (Balaeniceps rex), ndege wa kawaida katika Burigi-Chato National Park.

Hifadhi hiyo ilianzishwa mnamo mwaka 2019 na ina ukubwa wa kilometa za mraba 4707.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Burigi-Chato National Park". Tanzania National parks. Iliwekwa mnamo 2023-08-01.