Hifadhi ya Taifa ya Augrabies Falls

Hifadhi ya Taifa ya Augrabies Falls ni mbuga ya Taifa inayopatikana karibu na Maporomoko ya Augrabies, takribani km 120 magharibi mwa Upington [1] katika mkoa wa Rasi Kaskazini, Afrika Kusini . Ilianzishwa mwaka 1966. [2]

Hifadhi ya Taifa ya Augrabies Falls ina ukubwa wa eneo la kilomita za mraba 820 [3] na kuenea kando ya Mto Orange . Eneo hilo ni kame sana. Maporomoko ya maji yana urefu wa takribani mita 60 [4].

Marejeo hariri

  1. Tony Pinchuck; Barbara McCrea; Donald Reid (2002). South Africa. Rough Guides. uk. 323. ISBN 978-1-85828-853-6. 
  2. Heather Du Plessis (1 January 2000). Tourism Destinations Southern Africa. Juta and Company Ltd. ISBN 978-0-7021-5272-6.  Check date values in: |date= (help)
  3. "Augrabies Falls National Park (South African media online)". sanparks.africamediaonline.com/. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 30 July 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Augrabies Falls National Park". SA Places. Iliwekwa mnamo 30 July 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)