Honorati wa Subiaco

Honorati wa Subiaco, O.S.B. (503 - 598) alikuwa mfuasi wa Benedikto wa Nursia, aliyempa Gregori Mkuu baadhi ya taarifa juu yake alizozitumia kuandika maisha yake katika kitabu Majadiliano.

Honorati alikuwa mwandamizi wa tatu wa Benedikto kama abati wa Subiaco[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Mei.[2]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/54470
  2. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana 2001 ISBN 88-209-7210-7)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.