Hunaina al-Mughairy

Balozi

Hunaina Al-Mughairy (alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania, 13 Oktoba 1948) alikuwa balozi wa Usultani wa Omani nchini Marekani tangu mwaka 2005.

Hunaina al-Mughairy

Al-Mughairy mwaka 2020

mtangulizi Mohammed Bin Ali Bin Xhani

tarehe ya kuzaliwa 13 Oktoba 1948 (1948-10-13) (umri 75)
Dar es Salaam[1]

Hunaina ni mtaalamu wa uchumi aliyesoma katika Chuo Kikuu cha New York.[2]

Marejeo hariri

  1. "Biography: Hunaina Bint Sultan Bin Ahmed Al-Mughairy" – kutoka WikiLeaks PlusD. 
  2. "AllGov - Officials". www.allgov.com. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hunaina al-Mughairy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.