If Tomorrow Never Comes

"If Tomorrow Never Comes" ni wimbo uliorekodiwa mara ya kwanza na mwanamuziki wa aina ya ‘’’Country’’’ wa Marekani Garth Brooks, Wimbo huu uliotungwa na Brooks na Kent Blazy, ulitolewa katika albamu ya mwanzo ya 1989 Garth Brooks kwa jina lilo hilo. Pia inajumuishwa katika albamu ya The Hits, The Limited Series na Double Live Hii ilikuwa single yake ya kwanza kufika #1 katika chati za Billboard Country Singles. Wakati mwingine pia huitwa ‘’wimbo wake wa sahihi’’.

“If Tomorrow Never Comes”
Single ya Garth Brooks
kutoka katika albamu ya Garth Brooks
B-side "Much Too Young (To Feel This Damn Old)"
Imetolewa 21 Agosti 1989[1]
Muundo CD single, 7" single
Imerekodiwa 1988
Aina Country
Urefu 3:37
Studio Capitol 44430
Mtunzi Garth Brooks, Kent Blazy
Mtayarishaji Allen Reynolds
Mwenendo wa single za Garth Brooks
"Much Too Young (To Feel This Damn Old)"
(1989)
"If Tomorrow Never Comes"
(1989)
"Not Counting You"
(1990)

Wimbo huu pia ulitajwa kuwa bora zaidi katika kundi la Country Singles katika Tuzo la American Music Awards la 1999. Umekuwa mmoja kati ya nyimbo maarufu zaidi za Brook kwa wasanii wengine kutumbuiza nao.

Wimbo hariri

  • Key: G Major
  • Urefu: 3:27

Huu ndio wimbo wa kimapenzi wa mwondoko wa Country ambao Brook aliutoa. Unazungumzia mwanaume akikosa usingizi usiku akitafakari ni mawazo yapi yangekuwa kwa mpenziwe iwapo yeye angekufa peke yake. Mshororo wa kwanza wa pambio unasomeka kwa kiingereza, "If tomorrow never comes, will she know how much I love her?". Anaendelea kwa kulinganisha hali hii na wapenziwe wengine ambao amewapoteza, na vile aliahidi kuwambia kila siku vile wao ni muhimu kwake. Wimbo unaanza na zauti nyororo ya guitar ya solo na polepole unajengeka na mdundo na mwingiliano wa kiokestra.

Tangia hgapo Brook ameandika nyimbo nyingi za kimapenzi.

Video ya Wimbo Huo hariri

Katika wimbo wote, video inaonyesha Brook akicheza gitaa katika chumba kilicho na mwangiza uliofifia.Pia kuna vijisehemu vya video ambavyo mara kwa mara huonyesha mtoto mdogo, sehemu ambayo inachezwa na mtoto wa Steve Gatlin, kakake Larry Gatlin. Yeye ndiye lengo la wimbo huu hasa. Video hii pia inamshirikisha aliyekuwa mkewe Brook, Sandy.

"If Tomorrow Never Comes" uliorodheshwa katika nafasi ya tatu katika chati za CMT za The Greatest: 20 Greatest First Videos.

Nafasi katika Chati hariri

"If Tomorrow Never Comes" iliingia kwa chati mnamo 9 Septemba 1989 na ikafikia kilele katika #1 mnamo 9 Desemba.

Chati (1989) Kilele
U.S. Billboard Hot Country Singles & Tracks 1
Canadian RPM Country Tracks 2
Alitanguliwa na
"It's Just a Matter of Time"
na Randy Travis
Billboard Hot Country Singles
single bora zaidi

9 Desemba 1989
Akafuatiwa na
"Two Dozen Roses"
ya Shenandoah

Toleo la Ronan Keating hariri

“If Tomorrow Never Comes”
 
Single ya Ronan Keating
kutoka katika albamu ya Destination
Imetolewa 6 Mei 2002
Muundo CD single
Imerekodiwa Dec 2001
Aina Pop
Studio UMVD
Mtunzi Garth Brooks, Kent Blazy
Certification Platinum (ARIA)
Mwenendo wa single za Ronan Keating
"Lovin' Each Day"
(2001)
"If Tomorrow Never Comes"
(2002)
"I Love It When We Do"
(2002)

Mnamo Desemba 2001, mwimbaji wa Ireland, Ronan Keating aliirekodi wimbo wa "If Tomorrow Never Comes" kwa albamu yake ya Destination. Wimbo huo uliibuka kuwa wimbo uliobobea kwake, ukichukua nafasi ya kwanza katika chati za UK Singles Chart na kuwa katika kumi bora katika chati za Ireland, Uswidi, Switzerland, Austria, Ujerumani, Ufaransa na Australia.

Miondoko na Mpangilio wa Nyimbo hariri

UK Single #1
  1. "If Tomorrow Never Comes"
  2. "If Tomorrow Never Comes" (Groove Brothers Mix)
  3. "Interview with Westlife"
UK Single #2
  1. "If Tomorrow Never Comes"
  2. "Megamix"
  3. "Sea Of Love"
  4. "If Tomorrow Neber Comes" (Video)

Nafasi katika Chati hariri

Chati (2002) Nafasi
ya juu zaidi
Chati ya Australia Singles 3
Chati ya Australia Singles 1
Chati ya Belgium Singles 4
Chati ya Denmark Singles 1
Chati ya France Singles 9
Chati ya Ireland Singles 1
Chati ya Netherlands Singles 2
Chati ya New Zealand Singles 3
Chati ya Norway Singles 1
Chati ya Sweden Singles 4
Chati ya Switzerland Singles 7
Chati ya U.K. Singles 1

Nafasi za Mwisho wa Mwongo hariri

Chati (2000-2009) Nafasi
UK Singles Chart 85[2]
Alitanguliwa na
"Kiss Kiss (song)" iliyofanywa na Holly Valance
Single inayoongoza UK (Ronan Keating)
12 Mei 2002 – 18 Mei 2002
Akafuatiwa na
"Just a Little" ya Liberty X

Matoleo Mengine hariri

Joose alikuwa na ngoma ya nafasi ya kwanza nchini New Zealand na If Tomorrow Never Comes" ya 1997. pia ilikuwa moja katika ‘’concert repertoire’’ ya Barry Manilow na ilishirikishwa katika albamu ya 2004 2 Nights Live!. Katika miaka ya 2000, wimbo huu ulipokea umaarufu kutokana na tamasha katika mashindano ya show ya reality television, huku mshindi wa nafasi ya tatu Elliott Yamin akiuimba katika msimu wa tano wa American Idol. Mshindi wa Msimu wa pili wa The X Factor Shayne Ward alitumbuiza na wimbo huo wakati wa mkondo wa penultimate wa mtiririko huo huku mshindi wa Australian Idol 2006 Damien Leith akiuimba katika tamasha ya Top 10: Number One's Night. Foster & Allen waliurekodi toleo jingine la wimbo huo ambalo walilitoa katika albamu yao ya 2005, Foster & Allen - Sing The Number 1's. Mnamo 30 Juni 2009, Kevin Skinner aliuimba wimbo huo wakati wa majaribio katika mtiririko wa NBC ‘’America's Got Talent’’.

Marejeo hariri

  1. Garth Brooks single info at LP discography.com link
  2. Radio 1 Chart of the Decade, as presented by Nihal on Tuesday 29th Desemba 2009

Viungo vya Nje hariri