Illimani ni mlima wa Andes katika nchi ya Bolivia (Amerika Kusini).

Mlima Illimani

Urefu wake ni mita 6,438 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri