Imbabura ni mlima wa Andes katika nchi ya Ekwador (Amerika Kusini).

Mlima Imbabura

Urefu wake ni mita 4,631 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri