Immaculate Sware Semesi

Mwanasiasa wa Tanzania

Immaculate Sware Semesi ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA.

Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020.

Kwa sasa ni Mkurugenzi wa NEMC (National Environment Management Council) [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017