Innsbruck ni mji mkuu wa Tirol nchini Austria. Idadi ya wakazi wake ni takriban 119.000.

Sehemu ya Mji wa Innsbruck






Jiji la Innsbruck

Nembo
Jiji la Innsbruck is located in Austria
Jiji la Innsbruck
Jiji la Innsbruck

Mahali pa mji wa Innsbruck katika Austria

Majiranukta: 47°16′2″N 11°23′34″E / 47.26722°N 11.39278°E / 47.26722; 11.39278
Nchi Austria
Jimbo Tirol
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 119,000
Tovuti:  www.innsbruck.at
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Innsbruck kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.