Irving Langmuir (31 Januari 188118 Agosti 1957) alikuwa mwanafizikia na mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Alifanya utafiti kuhusu taa za gesi, neli za elektroni na vivuta hewa. Mwaka wa 1932 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Irving Langmuir
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Irving Langmuir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.