Issam Baous (alizaliwa 30 Novemba 1990) ni mwanasoka wa Algeria ambaye anachezea klabu ya JA Drancy katika ligi ya Championnat National 2. Kando na Ufaransa, amechezea pia Timu ya taifa ya Algeria.[1] Baous alikuwa mwanachama wa kikosi cha klabu ya ES Sétif katika Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA la 2014 nchini Morocco. [2]

Marejeo hariri

  1. Interview with Issam Baouz sofoot.com
  2. "FIFA Club World Cup Morocco 2014 List of Players". FIFA. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo February 12, 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo Vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Issam Baouz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.