Ivan Bukenya

Mchezaji mpira wa Uganda

Ivan Bukenya (alizaliwa 1 Novemba 1991) ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Uganda. Bukenya amewahi kuzichezea FC Linkoping City, Erbil FC nchini Iraq, Kaizer Chiefs nchini Afrika Kusini na East Bengal FC nchini India

Ivan Bukenya
Ivan Bukenya

Marejeo hariri