Jürgen Bräuninger

Jürgen Bräuninger (13 Septemba, 1956 - 6 Mei, 2019) [1] alikuwa mtunzi wa nyimbo wa Afrika Kusini mzaliwa wa nchini Ujerumani.

Jürgen Bräuninger alisoma katika Chuo kikuu cha cha muziki na sanaa ya maonyesho cha Jimbo la Stuttgart pamoja na Ulrich Süsse na Erhard Karkoschka na katika Chuo Kikuu cha Jimbo la San Jose, California.

Marejeo hariri

  1. "South African musical composer Professor Jürgen Bräuninger dies". iol.co.za. Iliwekwa mnamo May 9, 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jürgen Bräuninger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.