Jeshi la Kujenga Uchumi Sports Club, au kwa kifupi JKU SC ni klabu ya soka kutoka Zanzibar.Timu ilishinda Kombe la Nyerere mwaka wa 1974.[1]

Marejeo hariri

  1. "Zanzibar - List of Cup Winners". www.rsssf.org. Iliwekwa mnamo 2023-05-14. 
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu JKU S.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.