James Msekela

(Elekezwa kutoka James Alex Msekela)

James Alex Msekela (amezaliwa 3 Septemba, 1959) ni mbunge wa jimbo la Tabora Kaskazini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu James Alex Msekela". 25 Aprili 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.