James Whyte Black (14 Juni 192422 Machi 2010) alikuwa daktari kutoka nchi ya Uskoti. Hasa alichunguza matumizi ya propanololi na simetidini kama dawa. Mwaka wa 1988, pamoja na Gertrude Elion na George Hitchings alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Black kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.