James Matthews

Mshairi wa Afrika Kusini

James Matthews (amezaliwa 29 Mei 1929 mjini Cape Town) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Aliandika habari, hadithi na mashairi. Maandishi yake mengi yalipigwa marufuku chini ya sera ya apartheid.

James Matthews
Amezaliwa 29 Mei 1929
Cape Town, Afrika Kusini
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake Mshairi

Maandishi yake hariri

  • Cry Rage! (mashairi, 1972)
  • Pass Me a Meatball, Jones (mashairi, 1977)
  • No Time for Dreams (mashairi, 1981)
  • The Park and Other Stories (hadithi, 1983)

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Matthews kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.