Jamii:Kamusi za Kiswahili

Jamii hii inatumia vifupi ambavyo si kawaida kati ya wataalamu wa Kiswahili kwa shabaha ya kurahisisha marejeo ndani ya wikipedia ya Kiswahili.

Kamusi zinazotajwa kwa kifupi ndani ya jamii hii zinaelezwa kwa jumla katika makala Kamusi za Kiswahili.