Januari mfiadini (Benevento au Napoli, mkoa wa Campania, leo nchini Italia - Pozzuoli, Campania, karne ya 3) alikuwa askofu wa Benevento.

Picha iliyozoeleka ya Mt. Januari.
Kifodini cha Mt. Januari kilivyochorwa na Girolamo Pesce.
Kifodini cha Mt. Januari kadiri ya Artemisia Gentileschi (1636).

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa hasa tarehe 19 Septemba[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.