Jaouad Akaddar (9 Septemba 1984 - 20 Oktoba 2012) alikuwa mchezaji wa soka wa Moroko. Jaouad alifariki tarehe 20 Oktoba 2012 baada ya kupata mshtuko wa moyo mara moja baada ya kumalizika kwa mechi.[1][2]

Maisha hariri

Akaddar alichezea Olympique Khouribga, FAR Rabat, na Moghreb Tétouan kabla ya kwenda nje ya nchi na Ahly Tripoli na Al-Raed.[3]

Kimataifa hariri

Akaddar aliwakilisha timu ya taifa ya Morocco mara moja katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Equatorial Guinea tarehe 6 Julai 2003 katika mchuano wa kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2004.[4]

Marejeo hariri

  1. "بلاتر يعزّي في وفاة المغربي جواد أقدار". العربية. October 23, 2012.  Check date values in: |date= (help)
  2. "Une journée endeuillée par le tragique décès de Akaddar", Le Matin. 
  3. "Bouffée d'oxygène pour l'AS FAR", Le Matin. 
  4. Strack-Zimmermann, Benjamin. "Equatorial Guinea vs. Morocco (0:1)". www.national-football-teams.com. 

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jaouad Akaddar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.