Jeddah (kar.: جدّة jiddah huandikwa pia Jedda, Jiddah, Jidda) ni mji mkubwa wa pili nchini Saudia na bandari kwenye mwambao wa Bahari ya Shamu (21.50° N 39.1667° E).

Sehemu ya Mji wa Jeddah
Faili:Jedfoun.jpg
world's highest fountain

Kuna wakazi milioni 3.4.

Jeddah ni kitovu cha uchumi na biashara cha Saudia.

Waislamu wengi hupita humo wakati wa hajj wakitumia uwanja wa ndege wa Jeddah kwenda kuhiji Makka na Madina.

Miji wenzake hariri

Mji wa Jeddah una miji wenzake 23 (kwa Kiingereza "twin towns"):

Gallery hariri

  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.