Jeep ni brandi ya magari ya Marekani ambayo ni kampuni kubwa inayomilikiwa na kampuni ya Italia-Marekani ya magari ya Fiat Chrysler.

Jeep Grand Cherokee

Jeep sasa ina magari ya michezo na magari yasiyo ya michezo, lakini pia imejumuisha malori ya kubeba mizigo.

Baadhi ya magari ya Jeep kama vile Grand Cherokee inadhaniwa kuwa imeundwa na Chrysler.

Pia Jeep inadhamini timu za Italia kama vile Juventus FC na nyinginezo.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jeep kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.