Jeremiah Solomon Sumari
Jeremiah Solomon Sumari (2 Machi, 1943 hadi 19 Januari, 2012) alikuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki (Akheri) katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia hariri
Marejeo hariri
- ↑ "Mengi kuhusu Jeremiah Solomon Sumari". 13 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-25. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |