Jesca David Kishoa

Mwanasiasa wa Tanzania

Jesca David Kishoa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA.

Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jesca David Kishoa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.