Jimbo Katoliki la Bubanza
Jimbo Katoliki la Bubanza (kwa Kilatini "Dioecesis Bubantina") ni mojawapo kati ya majimbo 8 ya Kanisa Katoliki nchini Burundi na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na jimbo Kuu la Bujumbura.
Askofu wake ni Jean Ntagwarara.
Historia hariri
Uongozi hariri
Takwimu hariri
Eneo ni la kilometa mraba 2,700, ambapo kati ya wakazi 728,922 (2012) Wakatoliki ni 418,355 (57.4%).