Jimbo Katoliki la Fort Portal
Jimbo Katoliki la Fort Portal (kwa Kilatini "Dioecesis Arcis Portal") ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Mbarara.
Askofu wake ni Robert Muhiirwa.
Historia hariri
Uongozi hariri
Takwimu hariri
Eneo ni la kilometa mraba 13,553, ambapo kati ya wakazi 1,885,000 (2013) Wakatoliki ni 1,139,869 (60.5%).
Viungo vya nje hariri
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Fort Portal kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |