Jimbo Katoliki la Jinja
Jimbo Katoliki la Jinja (kwa Kilatini "Dioecesis Gingiana") ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Tororo.
Askofu wake ni Charles Martin Wamika.
Historia hariri
Uongozi hariri
Takwimu hariri
Eneo ni la kilometa mraba 8,917, ambapo kati ya wakazi 3,407,000 (2013) Wakatoliki ni 780,521 (22.9%).