Jimbo Katoliki la Kiyinda-Mityana
Jimbo Katoliki la Kiyinda-Mityana (kwa Kilatini "Dioecesis Kiyindana-Mityanana") ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Kampala.
Askofu wake ni Joseph Anthony Zziwa.
Historia hariri
Uongozi hariri
Takwimu hariri
Eneo ni la kilometa mraba 11,965, ambapo kati ya wakazi 910,000 (2007) Wakatoliki ni 374,000 (41.1%).