Jimbo Katoliki la Moroto
Jimbo Katoliki la Moroto (kwa Kilatini "Dioecesis Morotoënsis") ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Tororo.
Askofu wake ni Damiano Giulio Guzzetti, M.C.C.I..
Historia hariri
Uongozi hariri
Takwimu hariri
Eneo ni la kilometa mraba 15,000, ambapo kati ya wakazi 475,000 (2013) Wakatoliki ni 232,000 (48.8%).