Jimbo Kuu la Arusha

Jimbo Kuu la Arusha (kwa Kilatini "Archidioecesis Arushaënsis") ni mojawapo kati ya majimbo 34 (2012) ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kanisa kuu la Jimbo Kuu la Arusha, Tanzania.
Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa: Fransisko
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Chini yake kuna kanda ya Kanisa yenye majimbo yafuatayo: Moshi, Same na Mbulu.

Askofu mkuu wake ni Isaac Amani Massawe.

Kanisa kuu liko mjini Arusha na limewekwa wakfu kwa heshima ya Mt. Teresa.

Historia hariri

Uongozi hariri

Takwimu hariri

Eneo la jimbo kuu lina kilometa mraba 67,340, yaani mkoa wa Arusha na sehemu ya mkoa wa Manyara.

Kati ya wakazi 1,705,687 (2004) Wakatoliki ni 193,446 (sawa na 11.3%) katika parokia 30.

Mapadri ni 86 (42 wanajimbo na 44 watawa), hivyo kwa wastani kila mmojawao anahudumia waumini 2,249.

Pia kuna mabruda 149 na masista 129.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Kuu la Arusha kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.