Wilaya ya Illizi

(Elekezwa kutoka Jimbo la Illizi)

Illizi (Kiarabu: ولاية اليزي) ni jina la wilaya ya mjini kusini-mashariki mwa kona ya nchi ya Algeria. Jimbo limepewa jina kwa kufuatia mji wake mkuu unaoitwa hivyohivyo Illizi.

Wilaya ya Illizi, Algeria
Jimbo la Illizi
ولاية اليزي

Ramani ya Algeria imekoozeshwa katika Jimbo la Illizi
Kodi ya Jimbo 33
Kodi ya Eneo +213 (0) 29
Ngazi ya Utawala
Wilaya 6
Manispaa 3
Liwali Mr. Boualem Tiffour
Rais wa Bunge Mr. Abdelkader Benhoued
Takwimu za Msingi
Eneo 285,000 km² (110,040 sq mi)
Idadi ya wakazi 54,490[1] (2008)
Density 0.2/km² (0.5/sq mi)

Jimbo limepakana na Libya kwa upande wa mashariki, Jimbo la Ouargla kwa upande wa kaskazini, na Jimbo la Tamanghasset kwa upande wa mashariki na kusini.

Mgawanyiko wa kiutawala wa jimbo hapa hariri

Jimbo limegawanyika katika wilaya 3,[2] ambayo yameganyika zaidi katika manispaa 6 (miji mikubwa imekoozeshwa):

Marejeo hariri

  1. Office National des Statistiques, Recensement General de la Population et de l’Habitat 2008 Archived 10 Julai 2009 at the Wayback Machine. Preliminary results of the 2008 population census. Accessed on 2008-07-02.
  2. "The official journal of People's Democratic Republic of Algeria" (PDF). SGG Algeria. Iliwekwa mnamo 2007-11-06. 

Viungo vya Nje hariri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Illizi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.