Eneo bunge la Imenti ya Kati


Eneo bunge la Imenti ya Kati ni moja kati ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Meru. Lina wodi nane, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la utawala wa mitaa la Meru Central County.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia hariri

Jimbo hili lilibuniwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.

Wabunge hariri

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Kirugi Laiboni M’Mukindia KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Kirugi Laiboni M’Mukindia KANU
1997 Gitobu Imanyara Ford-K
2002 Kirugi Laiboni M’Mukindia NARC
2007 Gitobu Imanyara CCU

Wodi hariri

Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojiandikisha
Gatimbi 8,926
Kariene 7,893
Katheri 9,835
Kiagu 7,164
Kibaranyaki 5,338
Kibirichia 12,485
Kithirune 5,973
Mwangathia 10,615
Jumla 68,229
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia hariri

Marejeo hariri