Eneo bunge la Mwala

(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Mwala)

Eneo bunge la Mwala ni moja kati ya Majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Linapatikana katika Kaunti ya Machakos, miongoni mwa majimbo naneya kaunti hiyo. Jimbo hili lina wodi saba, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Masaku County.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Historia hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1988.

Wabunge hariri

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Gideon Nzioka Wambua KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Peter M. Kavisi KANU
1997 John Mutua Katuku SDP
2002 John Mutua Katuku KANU
2007 Daniel Muoki ODM-Kenya

Kata na Wodi hariri

Kata
Kata Idadi ya Watu
Ikalaasa 9,979
Kibauni 10,643
Masii 26,717
Mbiuni 33,373
Miu 13,741
Muthetheni 17,816
Mwala 35,425
Vyulya 11,850
Wamunyu 14,462
Yathui 13,123
Jumla 187,129

Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojisajili
Kibauni / Ikalaasa 7,266
Masii 9,839
Mbiuni / Kathama 11,820
Muthetheni / Miu 10,840
Mwala 12,961
Vyulya 4,284
Wamunyu / Yathui 10,141
Jumla 67,151
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia hariri

Marejeo hariri